Asante Twaingia lango lako na sifa

Unknown Artist

English Lyrics

Twaingia lango lako na sifa
Tumejawa shukuran moyoni
Sadaka hizi baba uzipokee
Kwa mazuri uliyotutendea

Tunasema asante kwa baraka zako
Tunasema asante fadhili zako za milele
Tunasema asante kwa huruma zako
Tena mapenzi yako ya milele

Obongi jakayuda we apaki tinende mayooo Yesu para
Omiyo agoni banjo gi sigalagala okumbana iyaw wang’a
Sama natuo nichanga
Kanalal niwara
Alwongi kinigi yooo Baba
Pilepile Hosana
TheYeshuaa TheYeshuaa · Real Worshipper

"Search Way Maker" "Open Genesis 1" "Go to Favorites"